5 Mar 2026 10:20 am | Citizen TV 3,447 views Duration: 1:26 Watu sita wamefariki papo hapo baada ya dereva wa basi la kampuni ya Chania Executive kupoteza mwelekeo na kuanguka katika eneo la Manyatta, kaunti ya taita taveta.