Watu tisa waaga dunia kwenye ajali ya barabarani Machakos, serikali ya kaunti kugharamia matibabu

  • | KBC Video
    64 views

    Serikali ya kaunti ya Machakos itagharamia matibabu ya waathiriwa 34 wa ajali ya barabarani iliyotokea jana ambapo watu-9 walifariki. Majeruhi hao wanapokea matibabu katika hospitali ya Machakos Level 5. Wakati huo huo, imebainika kwamba basi lililohusika kwenye ajali hiyo lilikuwa na abiria kupitia kiasi na lilikuwa likiendeshwa kwa kazi. Ripota wetu Joseph Wakhungu na mengi zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive