Watu waliobeba silaha waliingia kwa maadamano na kupewa ulinzi mkali na polisi

  • | Citizen TV
    35,853 views

    Milio ya risasi na vitoa machozi vilisheheni kwa kutwa nzima jijini Nairobi, huku maandamano yaliyopaniwa kuwa ya amani yakivurugwa na makundi ya watu waliobeba silaha. Kilichoonekana wazi ni kuwa watu hawa wameonekana kupewa ulinzi na maafisa wa usalama.