Watu wanane miongoni mwao wafanyikazi wa mamlaka ya KPA wafikishwa mahakamani

  • | K24 Video
    58 views

    Watu wanane miongoni mwao wafanyikazi wa mamlaka ya bandari nchini KPA wamefikishwa katika mahakama ya mombasa baada ya kutiwa nguvuni na makachero wa tume ya maadili na kukabiliana na ufisadi,EACC. Mmoja kati yao ni mfanyikazi mstaafu wa KPA, na watatu wanatoka kwa kampuni ya chemiso east africa ambayo inadaiwa ilipata kandarasi kwa njia ya ufisadi.