Watu wanaodai kuwa madaktari wa mifugo wanaswa

  • | Citizen TV
    470 views

    Madaktari wa mifugo nchini wamepongeza msako unaoendelea wa matapeli katika tasnia hiyo.