Watu wanne wameuawa kwenye uvamizi wa punde zaidi maeneo ya Marti na Lolmolog kaunti ya Samburu

  • | Citizen TV
    3,030 views

    Hali imesalia tete katika eneo la Marti na Lolmolog kaunti ya Samburu, ambako watu wanne wameuawa kwenye uvamizi wa punde zaidi. Mauaji haya na wizi wa mifugo wasiopungua mia mbili ukisababisha wakaazi wa Marti kuandamana. Hali hii pia ikishuhudia mamia ya wakaazi sasa wakihama kutafuta maeneo salama