Watu wanne wauwawa kwenye shambulizi la kilipuzi, Mandera

  • | Citizen TV
    1,234 views

    Watu wanne wamefariki miongoni mwao maafisa watatu wa polisi kufuatia mlipuko wa kilipuzi kilichotegwa ardhini mjini Mandera. Watu wengine 11 wamejeruhiwa kwenye shambulizi hilo lililotokea kwenye hoteli moja mjini humo