14 Sep 2026 10:34 am | Citizen TV 5,252 views Duration: 47s Watu watano wamefariki katika ajali ya barabarani iliyotokea Kikopey, Gilgil, usiku wa kuamkia leo. Ajali hiyo ilihusisha basi na gari dogo.