Watu watano wauwawa kwenye visa vya uvamizi

  • | Citizen TV
    288 views

    Polisi wanachunguza visa ambapo watu watano waliuwawa jana usiku katika visa vitatu tofauti katika kaunti za Samburu na Isiolo.