Skip to main content
Skip to main content

Watu watatu wafariki baada ya lori la mbao kupoteza mwelekeo eneo la Molo, Nakuru

  • | Citizen TV
    1,010 views
    Duration: 1:27
    Watu watatu wamefariki kufuatia ajali ya barabarani kaunti ya Nakuru baada ya dereva wa lori lililokuwa limebeba mbao kupoteza mwelekeo katika daraja la Arimi na kupinduka Jumamosi usiku.