Watu watatu wamefariki baada ya kituo cha kuuza gesi kulipuka Embakasi Nairobi

  • | West TV
    35 views
    Watu watatu wamedhibitishwa kufariki huku zaidi ya watu 280 wakijeruhiwa vibaya kwenye mkasa wa moto uliotokea katika sehemuu ya mradi katika eneo bunge la embakasi mashariki baada ya kituo cha gesi kulipuka na kusababisha maafa usiku wa kuamkia ijumaa hii