Watu watatu zaidi wafariki Turkana kutokana na mafuriko

  • | Citizen TV
    697 views

    Watu watatu wamefariki katika kaunti ya turkana Kutokana na mafuriko, Huku mifugo 1,381 ikisombwa na maji katika kaunti hiyo. Watu wengine 71 Kutoka familia 17 kijijini chania Githiru, Nyeri mjini. Wamekita Kambi katika Shule ya Msingi ya eneo hilo Baada ya mto chania Kuvunja Kingo zake.