Watu wawili kati ya wanne waliouawa Buruburu watambuliwa

  • | Citizen TV
    2,997 views

    Watu wawili kati ya vijana wanne waliouawa kwa kupigwa risasi ndani ya gari eneo la Buruburu wametambuliwa na familia zao. Wawili hao Brian Mwangi na Julius Mwangi ambao ni mabinamu, walikuwa wafanyi biashara wa mtumba. Hassan Mugambi amezungumza na jamaa za wawili hao.