Watu wawili wafariki na wengine 52 kujeruhiwa kwenye ajali ya barabara eneo la Muguga, Kiambu

  • | Citizen TV
    1,756 views

    Mauti barabarani Muguga Watu wawili wafariki kwenye ajali barabarani Muguga, Kiambu Wanafunzi 31 wa shule ya upili ya Twee Light Kayole wajeruhiwa Ajali yahusisha magari 20 huku mhubiri na mkewe wakifariki