Watu wawili waliodaiwa kuwa na vilipulizi nje ya nyumba ya Jimmy Wanjigi kuzuiliwa

  • | Citizen TV
    2,427 views

    Watu wawili wanaodaiwa kukamatwa na vilipuzi nje ya nyumba ya mwanasiasa na mfanyibiashara jimi wanjigi, muthaiga watasalia korokoroni kwa siku saba zaidi kuruhusu maafisa wa usalama kukamilisha uchunguzi dhidi yao.