6 Nov 2025 10:09 am | Citizen TV 793 views Watu wawili wamefariki, huku wengine watano wakiwa katika hali mahututi hospitalini baada ya kunywa pombe haramu inayokisiwa kuwa na sumu katika Kijiji cha Ngitana, Igembe Kaskazini kaunti ya Meru.