Watu wawili wanaoshukiwa kuwa wezi wauwawa katika vijiji vya Kambi Moi na Esageri kaunti ya Baringo

  • | Citizen TV
    992 views

    Watu wawili wanaoshukiwa kuwa wezi wameuwawa huku hali ya taharuki ikitanda katika vijiji viwili vya Kabi Moi Na Esageri ,Eldama Ravine,kaunti ya Baringo kufuatia visa vya wizi Wa mifugo Kwa mwezi moja sasa. Kundi la vijana lililokuwa Na hamaki lilivamia boma ya ndugu watatu wanaoaminika kufanya Biashara hii ya wizi Wa mifugo ili kulipiza kisasi.