Watu wawili wanauguza majeraha Litein

  • | Citizen TV
    904 views

    Watu wawili wanauguza majeraha baada ya gari walilokuwa wameabiri katika eneo la Litein kugonga mti. Inadaiwa kuwa dereva wa gari hilo la umma alishindwa kulithibiti kwasababu alikuwa akimenyana na afisa wa polisi wa trafiki