16 Sep 2025 1:16 pm | Citizen TV 893 views Duration: 1:32 Wingu la simanzi limetanda katika kijiji cha muthure eneo bunge la kabete kaunti ya kiambu, baada ya mkasa wa moto usiku wa kuamkia leo kuwaacha watu wakipoteza maisha yao na mali ya dhamana isiojulikana ikigeuza jivu.