Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili wauawa huku malori tisa yakiteketezwa katika eneo la Naivasha kutokana na maandamano

  • | Citizen TV
    24,846 views
    Duration: 2:20
    Watu wawili walifariki, makumi wakiuguza majeraha ya risasi huku malori tisa yakiteketezwa katika eneo la Naivasha kutokana na maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta. Machafuko yalishuhudiwa mjini naivasha wakati waandamanaji wanaodaiwa kuwa wahuni walipovamia biashara mbalimbali na kuzipora, ikiwalazimu maafisa wa polisi na wamiliki wa biashara kutumia nguvu kulinda mali ya umma