Skip to main content
Skip to main content

Watu wawili wauawa katika vurugu za Luanda, Vihiga, shughuli zikatizwa

  • | Citizen TV
    5,968 views
    Duration: 2:35
    watu wawili wameuwawa katika kijiji cha Luanda kaunti ya Vihiga baada ya kupigwa risadi na maafisa wa polisi. Tukio hili likijiri kufuatia mzozo uliozuka baada ya waendeshaji bodaboda mjini humo kudai kuhangaishwa na polisi na kukamatwa kiholela.