Wauguzi katika kaunti ya Nyamira wasusia kazi na kushiriki maandamano ya amani

  • | Citizen TV
    121 views

    Wauguzi katika kaunti ya Nyamira leo wamesusia kazi na kushiriki maandamano ya amani kulalamikia kucheleweshwa kwa mishahara yao, upendeleo katika kupandishwa vyeo na mazingira duni ya kufanyia kazi.