Wauguzi Machakos wamtaka Gavana awajibike

  • | Citizen TV
    80 views

    Viongozi wa muungano wa wauguzi mjini Machakos wamekanusha madai ya gavana wa Machakos Wavinya Ndeti kuwa mgomo wao umeingizwa siasa