Waumini wa kanisa la Redeemed Gospel waabudu nje

  • | Citizen TV
    274 views

    Waumini Kanisa la Redeemed Gospel kaunti ya Mombasa walilazimika kufanya ibada ya Jumapili nje ya kanisa kufuatia mzozo wa ardhi baina yao na bwenyenye anayedai umiliki wa kipande hicho.