Skip to main content
Skip to main content

Waumini wafika kanisani kwa ibada ya kwaresma Bungoma

  • | Citizen TV
    186 views
    Duration: 1:06
    ‎Waumini kutoka Kanisa katoliki la St Ann Muthure wameungana na wenzao kote ulimwenguni kwa mwanzo wa kipindi cha Kwaresima kupitia maadhimisho ya Jumatano ya Majivu. Padre Simon Peter Ndungu aliyeongoza ibada hiyo aliwahimiza waumini kutafakari, kutubu na kuimarisha maisha yao ya kiroho katika kipindi hiki cha siku 40 kuelekea Pasaka.