Wauzaji na wanunuzi wa madini ya mawe walalamikia kutofaidika na kituo cha mawe Voi

  • | Citizen TV
    185 views

    Wauzaji na wanunuzi wa madini ya mawe kaunti ya TaitaTaveta wamezidi kulalamikia kutofaidika na kituo cha kuongeza dhamani ya mawe cha voi licha ya kituo hicho kufunguliwa rasmi na rais William Ruto Octoba mwaka jana.Haya yanajiri baada ya vuta nikuvute katika kuchaguliwa kwa viongozi wa bodi ya usimamizi wa kituo hicho hatua ambayo imelemaza shughuli katika eneo hilo.