- 181 viewsDuration: 2:57Wavuvi kutoka maeneo mbalimbali ya Ziwa Viktoria na ukanda wa pwani sasa wametakiwa kuimarisha mbinu za uvuvi, ili kupata soko kubwa zaidi katika matafia ya ughaibuni. Katika kongamano la mafunzo jijini Kisumu, wavuvi hao aidha walizungumzia haja ya kushushwa kwa bei ya chakula cha samaki ili kupunguza gharama ya uzalishaji.