Skip to main content
Skip to main content

Wavuvi wageukia kilimo Homa Bay

  • | Citizen TV
    324 views
    Duration: 3:35
    Serikali ya kaunti ya Homa bay imehimiza wakazi wa kaunti hiyo kugeukia ukulima kama njia mbadala ya kujiongezea mapato badala ya kutegemea uvivu pekee. kwenye hafla ya kutoa mbegu kwa zaidi ya wakulima elfu thalathini ,kutoka kaunti hiyo, serikali hiyo pia imeanza mafunzo ya kitalamu kwa wakulima ili wapate mazao  maridhawa.