Wawakilishi wa vijana watoa ombi kwa bunge kuharakisha kupitishwa kwa mswada wa vijana wa 2024

  • | NTV Video
    48 views

    Wawakilishi wa vijana kutoka kaunti za marsabit, samburu, isiolo, meru, laikipia, na tharaka nithi wamefanya ombi kwa bunge kuharakisha kupitishwa kwa mswada wa vijana wa 2024 mara tu utakapowasilishwa katika bunge la taifa, ili kuruhusu serikali na wadau wengine kutunza maslahi ya vijana kwa ufanisi zaidi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya