Wawakilishi wadi wa Meru watahadharisha Gavana kuhusu miradi ambayo haijaanza na kudaiwa kukamilika

  • | NTV Video
    113 views

    Wawakilishi wadi huko Meru sasa wamemtahadharisha gavana kawira mwangaza kuhusu miradi ambayo bado haijaanza na anadai imekamilika na wanakandarasi wamelipwa kikamilifu.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya