Wawakilishi wadi wa UDA wamtetea sakaja

  • | Citizen TV
    194 views

    Wawakilishi wa bunge la Kaunti ya Nairobi wanaoegemea mrengo wa Muungano wa Kenya kwanza wamemtetea gavana wa Nairobi Johson Sakaja kwa kukosa kufika mbele ya seneti Alhamisi kujibu masuali ibuka. Wawakilishi wadi hao wanasema kuwa gavana Sakaja yuko kwenye ziara ya kikazi nje ya nchi. Gavana Sakaja alitakiwa kufika mbele ya kamati ya seneti kuhusu kawi inayochunguza mlipuko wa gesi iliyotokea eneo la Embakasi.