5 Mar 2026 1:52 pm | Citizen TV 217 views Duration: 1:18 Bunge la Kaunti ya Embu limewaapisha rasmi Wawakilishi wapya wa Wadi za Muminji na Evurore, hatua inayowaruhusu kuanza majukumu yao rasmi ya kuwatumikia wakazi wa maeneo yao.