Wawaniaji wa useneta Bungoma wawasilisha stakabadhi

  • | Citizen TV
    434 views

    Wawaniaji wa useneta kaunti ya Bungoma wameaza kuwasilisha karatasi zao za uteuzi kwa tume ya iebc. Uchaguzi mdogo wa useneta utafanyika tarehe nane mwezi Disemba