Skip to main content
Skip to main content

Wawili jela kwa kujaribu kumroga na kumuua rais wa Zambia

  • | BBC Swahili
    2,955 views
    Duration: 1:22
    "Ni maoni yangu kwamba wafungwa hawakuwa tu adui wa mkuu wa nchi lakini pia walikuwa maadui wa Wazambia wote," - Hakimu Mahakama nchini Zambia imewahukumu wanaume wawili kifungo cha miaka miwili jela kwa kujaribu kutumia uchawi kumuua Rais Hakainde Hichilema. Mzambia Leonard Phiri na Msumbiji Jasten Mabulesse Candunde walitiwa hatiani chini ya Sheria ya Uchawi baada ya kukamatwa mwezi Disemba wakiwa na hirizi, akiwemo kinyonga hai. @frankmavura anatuelezea #bbcswahili #zambia #ushirikina Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw