Skip to main content
Skip to main content

Wazazi Narok watakiwa kuhakikisha wanafunzi wanarejea shuleni

  • | Citizen TV
    107 views
    Duration: 1:13
    Gavana wa Narok Patrick Ole Ntutu amewaomba wazazi kuhakikisha wanafunzi wanarejea shule bila kufeli wiki hii. Akizungumza eneo Seramik wadi ya ilmotiok Narok magharibi Gavana Ntutu ameahidi kuhakikisha kuwa mgao wa basari utawafikia wanafunzi hivi karibuni pindi kesi inayohusiana na basari ya kaunti itakapotamatika.