Skip to main content
Skip to main content

Wazazi wafungiwa MTRH baada ya kujifungua, hospitali yatetea uamuzi

  • | Citizen TV
    2,030 views
    Duration: 2:35
    Baadhi ya kina mama waliojifungua wameendelea kuzuiliwa katika hospitali ya rufaa ya Eldoret, wengine wakisalia hospitali kwa zaidi ya miezi mitatu. Picha za mwanagenzi kutoka hospitali hiyo zilionyesha malalamishi ya zaidi ya kima mama 20 waliodai kutelekezwa kwa kukosa kulipa. Hata hivyo, Afisa mkuu mtendaji wa hospitali hiyo Philip Kirwa anasema kuwa baadhi ya kina mama waliojifungua hawakuwa na vitambulisho au vyeti vya kuzaliwa na kusababisha hitilafu kuhusu malipo.