5 Mar 2026 1:31 pm | Citizen TV 576 views Duration: 2:40 Imebainika kuwa wazazi wengi hawana uelewa wa kutosha kuhusu utunzaji wa masikio ya watoto wao, jambo linalosababisha nta ya sikio kuwa nyingi na kuchangia matatizo ya kutosikia