Wazazi watakiwa kuwa waangalifu

  • | Citizen TV
    427 views

    Wanafunzi wanapoelekea kwenye likizo ya muhula wa kwanza, wazazi wametakiwa kuwafuatilia wanawao nyumbani na kufahamu talanta zao.