Skip to main content
Skip to main content

Wazazi watakiwa kuwapeleka watoto wote shuleni Kachonge

  • | Citizen TV
    125 views
    Duration: 1:02
    Onyo kali imetolewa kwa wazazi katika eneo bunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma kuwa watachukuliwa hatua kali za kisheria iwapo hawatatii agizo la serikali la kuhakikisha kila mwanafunzi ni sharti ahudhurie masomo. Akizungumza kwenye mkutano wa agm katika shule ya msingi ya Sichei Rc, chifu wa kata ya Khachonge, Donald Kimingichi amesema serikali haitaruhusu wanafunzi kusalia nyumbani akiwatahadharisha wazazi kuwa watafikishwa mahakamani iwapo watapatikana.