16 Sep 2026 10:34 am | Citizen TV 55 views Baadhi ya wazee kutoka Garissa wamelaani matumizi ya wahuni kwenye mikutano ya kisiasa wakisema hali hiyo imechangia kuongezeka kwa uhasama miongoni mwa jamii nchini.