Wazee wa Agikuyu wafurahia msamaha wa naibu rais Rigathi Gachagua.

  • | Citizen TV
    408 views

    Baraza la Kitaifa la Kiama KIAMA limejiandaa kutekeleza ibada ya kitamaduni ya jamii ya Agikuyu ili kuleta maridhinao kati ya mke wa rais wa kwanza, Mama Ngina Kenyatta, na naibu rais Rigathi Gachagua.