8 Oct 2025 1:25 pm | Citizen TV 725 views Duration: 1:37 Wazee wa jamii ya Meru kaunti ya Mombasa wanataka serikali za kaunti kukumbatia tamasha za kitamaduni kote nchini ili kudumisha umoja baina ya jamii na kuhakikisha kizazi cha sasa hasa vijana wanatambua tamaduni.