Skip to main content
Skip to main content

Wazee wa jamii ya wamaasai wahofia mitishamba ya asili Kajiado itaisha

  • | Citizen TV
    511 views
    Duration: 3:36
    Wazee kutoka Jamii ya WaMaasai huko kaunti ya Kajido wameeleza wasi wasi wao kuhusu kuendelea kutokomea kwa mimmea na miti ya Kiasili ambayo hutegemewa kwa Dawa za kienyeji na uundaji wa manukato