- 220 viewsDuration: 2:13Kundi la kina mama wazee kaunti ya Nandi limeanzisha timu ya soka inayojulikana kama Tegat Grannies Football Club. Timu hiyo inatumia mchezo wa mpira wa miguu kama njia ya kuimarisha afya ya mwili na kukabiliana na maradhi yanayoambatana na uzee