Wazee wa Meru wadai jamii yao imekosa mwelekeo

  • | Citizen TV
    383 views

    Baraza la Wazee wa Njuri Ncheke Limeandaa Mkutano wa Viongozi wote kutoka Meru na Tharaka Nithi, Kufanya kile wanachokitaja kama "kurejesha maji kwa mto".