Wazee wapewa ushauri nasaha kuhusu msongo wa mawazo

  • | Citizen TV
    233 views

    Wazee wametakiwa kutembelea kliniki na kujua hali yao ya afya pamoja na kupata ushauri nasaha kuhusu kujiepusha na msongo wa mawazo, hali ambayo huwakumba wazee wengi na kuchangia wao kufariki.