Waziri Ababu asema viwanja vitakuwa tayari AFCON 2027

  • | Citizen TV
    1,120 views

    Michezo kwamba miundo mbinu ya michezo itakuwa tayari nchini kwa maandalizi ya dimba la mataifa bingwa Afrika mwaka wa 2027.