Waziri Ababu Namwamba aomboleza na familia ya mwanariadha Kelvin Kiptum

  • | Citizen TV
    341 views

    Rambirambi Kwa Kelvin Kiptum Waziri Wa Michezo Ababu Namwamba Atoa Risala Serikali Itashirikiana Na Familia Kwa Mazishi Yake Waziri Namwamba: Kiptum Atapumzishwa Kishujaa