Waziri Alfred Mutua azindua ziara ya kutathmini athari za mizozo ya binadamu na wanyamapori

  • | K24 Video
    16 views

    Waziri wa utalii na wanyamapori Alfred Mutua amezindua ziara ya kitaifa yenye lengo la kutathmini athari za mizozo ya binadamu na wanyamapori. Mutua alianza ziara yake katika maeneo ya kibwezi na mtito andei katika kaunti ya Makueni ambako mizozo ya wanyamapori imekithiri huku akiahidi kuleta mabadiliko katika juhudi za kupunguza migogoro hiyo pamoja na fidia kwa waathiriwa