Waziri Bore ahimiza ushirikiano katika kukomesha unyanyasaji wa watoto

  • | KBC Video
    13 views

    Waziri wa leba Jamii Florence Bore ametoa wito kwa wadau zaidi kushirikishwa katika kutokomeza visa vya dhuluma dhidi ya watoto, ambavyo kwa sasa vimefikia asilimia 56 nchini. Bore pia anahimiza hatua za haraka za kukabiliana na kudorora kwa maadili na umaskini unaowafanya watoto kuwa katika hatari zaidi. Kasichana Masha na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive